serengeti

  1. Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  2. Watu wa serengeti bia mnapoteana

    Bia zenu serengeti sasa zinaradha ya sukari sana halafu unapiga hata tatu hakuna stimu unamaliza hela tu.Lakini zamani ukipiga tatu angalau.Lakini serengeti hizohizo mikoa mingine zipo poa.Mkiendelea kuleta kanya boya tutafanya kampeni ya kuwaharibia tena nasisitiza toeni bia zenu zenye ladha ya...
  3. Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

    Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
  4. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

    Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la...
  5. C

    Kwa watumiaji wa kinywaji cha Serengeti Lite

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kinywaji hiki pendwa cha Serengeti Lite Mwanzoni kilipoanza kusambazwa kwa watumiaji chupa zake zilikuwa na maandishi madogo kwenye chupa yanayooeleza tarehe ya kutengezwa na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kinywaji hicho na zilikuwa na ladha nzuri sana. Baadaye...
  6. Almanusura nitapeliwe

    Hawa jamaa walinifuata Insta na kutaka nifanye nao kazi ya ugavi. Walijitambulisha kuwa ni Sasakawa Lodge ndani ya Serengeti. Wakasema walitembelea trade profile yangu wakasema tukutane next day evening huko Serengeti tuingie mkataba. Nikapigiwa na mwanamke ambaye anazungumza kiingereza cha...
  7. Serengeti Breweries kudhibiti wanywaji wenye umri mdogo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye kundi la watu wenye umri mdogo wanaotumia pombe kwa kiwango kikubwa, wakiwamo wanafunzi. Hivyo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua programu ya kupambana na unywaji pombe kwa watu wenye umri mdogo, ikilenga kudhibiti tabia hiyo. Utafiti...
  8. J

    Naibu Waziri wa Michezo, Pauline Gekul ashangilia Serengeti Girls kutinga robo fainali Kombe la Dunia Wanawake -U17

    MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga hatua ya Robo FAINALI ya Kombe la Dunia la wanawake U17 linaloendelea Nchini India.
  9. House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
  10. Chadema yashuku mauaji majambazi Serengeti

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshuku mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya majambazi wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, kikitoa hoja nne kuthibitisha mashaka yake. Mashaka hayo yanaibuka ikiwa ni karibu wiki moja tangu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mara, Longinus...
  11. Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
  12. Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  13. Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  14. Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

    Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
  15. Polisi yaua watatu kwa risasi Serengeti

    Watu watatu wameuawa na polisi wakidaiwa kuwa ni majambazi. Akizungumzia tukio hilo jana ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao wameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kujaribu kuwatoroka askari usiku wa kuamkia jana. Alidai kuwa walikamatwa kwenye...
  16. Serikali iishawishi TFF iwatoe kifungoni ndugu Dauda na Manara ili waambatane na Serengeti Queens huko India

    Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa. Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa...
  17. Msaada, nahitaji mawasiliano ya Serengeti BL na TBL

    WAKUU NIMEJARIBU KUWATAFUTA MTANDAONI NIMEKOSA MAWASILIANO YAO Nataka kuuza vinywaji vyao kwa jumla ila utaratibu siujui. Naomba mwenye kujua anifahamishe
  18. P

    Serengeti Lite

    Big up kwako mpishi wa hii beer pendwa. Tangu wiki hii wanywaji tumegundua kuna mabadiliko makubwa sana katika ladha. Ni nzuri na ni laini vizuri kabisa. Endeleeni hapo. Kuna kipindi ladha ilianza kuwa ya ajabu ajabu this time, whatever you did. Endelea.
  19. Mfalme Charles III karibu mapumziko Serengeti

    Kwanza pole kwa msiba pia nikupongeze kwa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza Taifa. Kufuatia msiba wa Malkia. Langu Ni makaribisho nchini kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti baada ya shughuli za kuzika/msiba kwisha. *Mfalme Charles III Ni Mkuu wa nchi zifuatazo; 1. Australia, 2. Canada, 3. New...
  20. Mwenye ufahamu kuhusu kutembelea Serengeti naomba msaada

    Habari za asubuhi? Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania. 1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani? Mikumi kuna ruksa hio unalipia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…