Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018).
Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu.
nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu kuangalia Prison Break, aiseee niliona ndefu sana, series inazunguka huku na huku, wanachelewa kwenda...