Wadau habari za maujukumu,
kama kuna wapenzi wa Naigerian au African movies zenye stori nzuri iliyosimama na kuhamasisha kuangalia hata kuinuka kwenda toilet unashindwa tutajiane machimbo ya kuangalia na sisi. hii inahusu movie hata za kizungu na black american mf. movie ya Nobody is fool yumo...