Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa...
1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo.
2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba!
3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza.
4. Mahsusi...
Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia.
Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
Hivi naweza kutoboa haya Maisha?
Ikiwa Sina kazi, mimi ni (mshenintown)
Nataman kuwa na Maisha ya mtu wa Kati.
Jamani mliotiboa mlifanyeje mbona Mambo magumu hivi.
Wanajamvi salaams
Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?
Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote.
Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira.
"Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini.
Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
Sababu mojawapo iliyosaidia Korea Kusini kuendelea ni viongozi wake kutambua mapema walichokuwa wanakihitaji na kutumia kila fursa waliyoipata kuifukuzia. Inawezekana, hata sisi tungefanya kama wao, nchi yetu ingekuwa kama yao, au zaidi.
Hilo ndilo limenipelekea kufikiria kuwa ikiwa tutawaazima...
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
Habari za leo wana jamvi,
Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi kwa ujumla.
Bahati mbaya sana tuliyo nayo kama Taifa, ni ile hali ya viongozi...
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.
Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini.
Anawazindua watendaji mazoea chamani na serikalini. Ama kwa hakika watendaji wote mazoea wataongeza...
Ikiwa alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza kipato sawa kila mwezi
1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.
2. Aliejiajiri anaweza...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Adolf H. Ndunguru ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa Watumishi 5,740 walioomba kuhamia kwenye Halmashauri mbalimbali nchini ambapo amesema ofisi yake imefanyia kazi maombi yote ya uhamisho yaliyowasilishwa kuanzia January–July, 2023.
Amewataka Watumishi...
Wanaoangaika na maskini wa nchi ni watoto wa maskini walioajiriwa serikalini. Viongozi wa TANAPA wameliwa vichwa kwa sababu tu wamegusa maslahi ya royal family.
Viongozi wa TANAPA wameona namna wanasiasa wasivyo na fadhila; wamepambana na Masai wakiamini watapanda vyeo wameambulia fedhea ya...
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa nchi na amani. Mapendekezo yao, hasa kuhusu masuala kama tume ya uchaguzi, katiba mpya, na maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.