Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji
https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha.
Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
1. Wadau habarini, nimeitwa kwenye usaili tangazo la tarehe 11/08/2023
Nimeitwa wakati huo Nina barua ya utumishi ikinitaka niombe ili niweze kupangiwa kazi, Sasa je nikienda na barua yao nitafanya interview ama laa na nikifeli japokuwa natarajia kufaulu watafanya nini wakati huo barua ina...
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?
Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria.
Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu.
Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba.
Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
=====
UPDATE:
Machi 31, 2024: Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda...
Teknolojia imezidi kukuwa kwa kasi kubwa sana, lakini ukuaji wake unasababishwa na uvumbuzi unaopelekea utatuzi wa matatizo na majanga yanayotokea katika jamii na ulimwengu kwa ujumla. Mabadiliko makubwa ya teknolojia yameletwa na wataalamu mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti, wamejitahidi...
Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
Utangulizi
Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa itakapopatikana kwenye kila sekta nchini.
Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Juni 16 2023, wakati akiwaapisha...
Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza juhudi zake za kuwawezesha vijana na kuboresha ufanisi wa kazi katika taasisi za serikali. Ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2023,serikali imeajili vijana 18,449.
Idadi hiyo inajumuisha walimu wapatao 13,130 ambao wamepata nafasi za ajira katika sekta...
Kuongeza uwajibikaji serikalini ni suala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Kwa kuwa uwajibikaji ni mfumo wa kuhakikisha kuwa viongozi wa umma wanawajibika kwa wananchi na kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwazi, kuna hatua kadhaa zinazoweza kuchukuliwa ili kuongeza...
Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inageuka kutoka analogy kwenda digital, utendaji wa sekta binafsi na serikali vinabadirika kwa kasi sana.
Leo tuwaangalie wachache kati ya wengi, viongozi wanaoongoza mageuzi ya kidigitali nchini, toka sekta binafsi na sekta ya Umma.
1. Vodacom Managing...
Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko.
Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana.
Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini..
Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.