Tunaona kwenye ripoti mbalimbali za fedha za Kila mwaka za CAG, zikiibua ufisadi mkubwa wa mabilioni, unaofanywa na watendaji Serikalini, lakini tunaona ni "business as usual" inayoendelea na hakuna hatua zozote za kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya Sheria zinazochukuliwa!
Tunashuhudia...
Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi.
Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa
===
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda {MUWASA}, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi...
Wakuu,
Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida
Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye kupendwa kuliko michezo mingine yoyote ile.
Hawa tunaowaona wamejaa majukwaani na matarumbeta yao wakiwa...
Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
Habarii wakuu,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi.
Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki.
Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje?
Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame!
Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii.
Chanzo: ITV
*****
Nimesoma hiyo...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.
Hichilema amehoji “Kwanini...
1.0 Ikisiri
Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
Comrade Kinana amepasua jipu.
Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama.
Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari.
Ni jambo la kawaida sasa...
Habari!
Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika.
Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali.
Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi.
Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF.
1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.