Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?
Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.
===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
Salam wakuu.kuna ndugu yangu amehitimu chuo cha ualimu kwa level ya shule za msingi miaka mitatu iliyopita na sasa kwa zaidi ya miaka miwili anajitolea kwenye shule fulani huo mkoani.
Changamoto iliyopo tangu ajira zimetangazwa mara ya kwanza na hata sasa ameshindwa kuomba kutokana na...
TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023
======
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari.
Aidha, idadi ya watumishi...
Wapendwa habari zenu
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
Habari wataalamu,
Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake.
Naomba kujuzwa utaratibu.
Nimesikiliza maoni ya watu wakiwemo watazamaji wa ITV kwenye kipindi cha Kipima joto jana ambapo wengi wameelezea kuwa tatizo la undugunaizesheni ndani ya serikali ndio chimbuko la wizi na ufisadi.
wamesema watuhumiwa wa ufisadi wanashindwa hatua kutokana na baadhi yao kuwa na mafungamano na...
Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn
Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu.
Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe..
Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023.
Tulia Ackson anazungumza:
Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
Muktasari:
Vigogo walioitwa kwenye shauri hilo bila kufika ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mkuu wa mkoa wa Arusha, Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Arusha, mkuu wa wilaya ya Ngorongoro na mkuu wa polisi wilaya ya Ngorongoro.
---
Kesi ya kulazimishwa kupotea...
JF ni hazina (rich source of information) ya taarifa mbali mbalimbli zinazotolewa na members. Fahamu kuwa kila idara/sekta/eneo la kiserikali la kazi haiwezi kukosa mtu member wa JF. Hivyo kama kuna maovu yanayotendeka, ukifuatilia JF utayakuta wameyataja/wameyaandika. Unaanzia hapo unatafuta...
Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi.
Mbowe amesema ameamua kufunguka...
Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini.
"Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
Kanisa la huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya Pili limefunguliwa na kuendelea kutoa huduma baada ya kufungwa kwa miezi mwili.
Dar es Salaam. Nabii wa Kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya pili jijini Dar es...
Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama.
Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali.
Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya wateule wanaishi kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.