Habari zenu wana JamiiForums nahitaji mke alie na utulivu wa nafsi na siyo mwenye tamaa. Awe MUSLIM na pia awe bado hajazaa, umri awe 18-32.
Awe mweusi au mweupe, pia awe na umbo zuri (shape). Mimi ni mweupe, mrefu kiasi, umri wangu 33, ni mfanya biashara.
Kama upo serious karibu PM au ni...