Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road).
Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5).
Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns
Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo.
Bei ni...