Habari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Hobbies nazopenda
Kusikiliza muziki hasa wa Pop, Reggae, Country, R&B, Trap na Jazz.
Kuchora(sketching/drawing)
nitaleta picha...