Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.

Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa

mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi baba ake mzazi alimdhamini benki ili kupokea shughuli za uchumi ziende
 
Mali ni za yule uliyetafuta nae......
Huyo unaye ita mchepuko inawezekana kachangia maendeleo makubwa sana katika familia hiyo
na zipo baadhi ya familia mchepuko ndio masta wa kila kitu!!! mama mjengo karidhika kwa jina la ndoa.

Kila mtu apate haki yake.
 
Unaonekana wewe ni mchepuko wa mtu au uliwahi kufaidika kwa namna hio.

Ila sio mbaya, wajinga ndio waliwao.
Kwa upande wako umefaidika kwa ujinga wake. Siwez kukulaumu sana.
 
Huyo marehemu nae wakulaumiwa kabisa. Angewawekea huko pembeni kila kitu chao hao watoto na mchepuko hapo angekuja kuzika tuu akimaliza anawatambulisha watoto wake na moto wake.

Mali za nyumba kubwa kuzigawa inakuwaga mgogoro sana. Marehemu hajakaa kimasta wala nini amewacha mtarafuku huku duniani.
 
Inategemea.

Kimsingi Mali hugawiwa kulingana na vinasaba, hiyari ya mwenye mali, na waliozalisha.

Kama alivyosema mdau hapo juu.
Unaweza kuwa na mke lakini kichwani ni bomu. Alafu mchepuko ndiye anakuunganisha na madili. Anakupa mawazo na utulivu. Kwa nini usiweke watoto wake?
 
Ujinga tu, Ukizaa unganisha watoto wako kama hawaungani usiwaachie urithi. Acha kwenye Trust wawe beneficiary au uza kula raha.
 
Ukiwa hapa duniani ni kukaa vizuri na MUNGU, lolote likitokea anaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom