Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Wanaunganishika. Tukijifunza kwa waliofanikiwa mbinu zipo, unatakiwa uwe na muda tu. We hakikisha tu mama zao wakiwajaza sumu hawaziamini.Watoto wa Wanawake tofauti huwezi kuwaunganisha. Ni ngumu sana.
Kuhusu hoja ya Trust hiyo ni hoja nyingine na ni nzuri
Mbinu ya kwanza ni kujitahidi kutokuzaa watoto wa mama tofauti waliopishana sana umri, kuhakikisha wanasoma shule moja, na angalau kila mwaka kuwe na safari ya pamoja. Baadhi ya weekend kuwe na shamba la familia ambalo kila mtoto ana mti wake anahudumia Mkifika huko mtachoma nyama pamoja ukiwakumbusha kuwa uhusiano wa damu una nguvu kukiwa na bond n.k halafu mali ziwe kwenye Trust au kampuni.
Ukitengeneza hii bond na ikafeli uza mali kula Bata kabla hujajifia wakauana.