Mamaa ShesRise_1 , habari ya Maulid?
Unaendeleaje huko ulipo?
Unaendeleaje huko ulipo?
Wanataka wote tuwaze kitu kimoja tu kitu ambacho hakiwezekani!!!!Yaani mtu ukitofautiana naye mawazo tu tayari umeshakuwa mjinga 😁
Naendelea vizuri sijui wewe hukoMamaa ShesRise_1 , habari ya Maulid?
Unaendeleaje huko ulipo?
Nilikuwa sijaitia machoni Id yako kwa kitambo fulani, mashaka yakawa sehemu ya hisia zangu.Naendelea vizuri sijui wewe huko
Jamani 😊Nilikuwa sijaitia machoni Id yako kwa kitambo fulani, mashaka yakawa sehemu ya hisia zangu.
Kuna wanawake wakorofi na njia ya kumtandika ni hiyo tu. Unamuachia mtiti. Mfano mwanamke kama Dr. MariposaHuyo marehemu nae wakulaumiwa kabisa. Angewawekea huko pembeni kila kitu chao hao watoto na mchepuko hapo angekuja kuzika tuu akimaliza anawatambulisha watoto wake na moto wake.
Mali za nyumba kubwa kuzigawa inakuwaga mgogoro sana. Marehemu hajakaa kimasta wala nini amewacha mtarafuku huku duniani.
Nakubali mifumo masta 👊 lazima uunganishe damu zako wote.Wanaunganishika. Tukijifunza kwa waliofanikiwa mbinu zipo, unatakiwa uwe na muda tu. We hakikisha tu mama zao wakiwajaza sumu hawaziamini.
Mbinu ya kwanza ni kujitahidi kutokuzaa watoto wa mama tofauti waliopishana sana umri, kuhakikisha wanasoma shule moja, na angalau kila mwaka kuwe na safari ya pamoja. Baadhi ya weekend kuwe na shamba la familia ambalo kila mtoto ana mti wake anahudumia Mkifika huko mtachoma nyama pamoja ukiwakumbusha kuwa uhusiano wa damu una nguvu kukiwa na bond n.k halafu mali ziwe kwenye Trust au kampuni.
Ukitengeneza hii bond na ikafeli uza mali kula Bata kabla hujajifia wakauana.
Hatari sana mkuu, hapa hata mama zao wakiwajaza sumu zinaweza ingilia kushoto zikatokea kulia.Nakubali mifumo masta 👊 lazima uunganishe damu zako wote.