Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza...