Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu.
Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k
Yani wao ni ndani tu mda wote...