Wakuu,
Jana tar 6/7/2024 CCM walikuwa wanazindua Kampeni kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ushiriki wa Vijana katika Chaguzi hizo katika Uwanja wa Mkapa, ambapo ilihitaji ushiriki wa wanafunzi pia ili kukamilisha tukio hilo.
Shughuli ni za kichama, ambapo waliotakiwa wakodi magari hayo...