DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
Ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Inyonga, Mlele katika ziara ya Siku Saba za Kibabe itakayofanyika katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe kuanzia 11 - 17 Juni, 2025.
Ndugu Kawaida ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM TAIFA Ndg. Ivan Moshi na Ndg. Debora Tluway.
Source: Uvccm