Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...