siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Manfried

    Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  2. S

    Tetesi: Za ndani kabisa. Kuna chama kipya cha siasa kitasajiliwa hivi karibuni. Nyaraka muhimu zinafanyiwa kazi ofisi ya msajili

    Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais. Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa. Mungu ibariki Tanzania.
  3. technically

    Lema : Siasa sio biashara turudi kwenye kusudio letu

  4. Mr Dudumizi

    Ama kweli katika siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Alaumiwe mama Abdul, vijana wa Kaunda suti, au viongozi wa chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan. Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
  5. J

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ukweli, haki, akili na upendo(utibeli) ndio msingi wa utawala bora na siasa safi za kuleta maendeleo ya kweli (true development)

    UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maendeleo ya Kweli (True Development) ni mabadiliko chanya yanayotokea kuanzia ndani ya mtu(hisia, Akili), na nje ya mwili katika...
  7. chakii

    Askofu Bagonza : Vyama vya Siasa ni vya viongozi siyo wanachama

    Ikiwa ni saa chache tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kutangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika Alhamisi tarehe 12 Desemba 2024, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
  8. BLACK MOVEMENT

    Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  9. Yoda

    Pre GE2025 Mbowe ashauriwe kutogombea tena uenyekiti wa CHADEMA, siasa ni muonekano (perception) kwanza

    Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
  10. Tlaatlaah

    Kwa ustawi wa CHADEMA kama chama cha siasa, panahitajika maridhiano baina ya viongozi wake waandamizi na wanachama wote kwa ujumla

    Hakuna haja ya kujipiga kifua, kujidanganya na kuhadaa umma eti chadema hakuna mgawanyiko wala mafarakano na vita ya chini kwa chini miongoni mwa viongozi wake wa andaminizi, hasa kambi ya mwenyekiti taifa na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa. Ukweli usemwe ndrugu zango kwenye changamoto za...
  11. Ojuolegbha

    Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
  12. MSAGA SUMU

    Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
  13. K

    Upande wenye siasa kali unashinda ndani ya vyama vya siasa

    Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na...
  14. Minjingu Jingu

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
  15. Prof_Adventure_guide

    Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
  16. Tlaatlaah

    Wanachama wa vyama vya siasa na wadau wa siasa kwa ujumla acheni mihemko, mizaha na matusi kwenye mijadala yenye maslahi muhimu kwa taifa

    Kuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo labda ni dhaifu na yasiyo na mashiko kwa wakati huo. Ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo...
  17. Yoda

    Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  18. Cute Wife

    Mwananyazala: Soka na Siasa haviwezi kutenganishwa!

    Wakuu, Hili nalo mkalitazame! ===== Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau maarufu wa soka nchini, Hussein Makubi Mwananyanza, amewashukuru kwa dhati wadau na wapenzi wa soka waliojitokeza kwa wingi kupiga kura mnamo tarehe 27 Novemba 2024, hatua iliyokipatia CCM ushindi wa...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Back
Top Bottom