siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Waufukweni

    LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, inayodai kuwa vyama vyote vya siasa, ikiwemo CHADEMA, vilishirikishwa na kukubaliana na taratibu...
  2. Tlaatlaah

    Mwanzo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa siasa za Godbless Lema Arusha, ni wa fedheha sana badala ya heshima

    Tofauti zake kisiasa na viongozi wenzake ndani ya chadema Arusha na kanda ya kaskazini kwa ujumla, vimedhihirisha kuchokwa na kutohitajika kwake tena ndani ya chadema Arusha. Anaharibu zaidi pale anapojaribu kuwainstall wafuasi, rafiki, jamaa na ndugu zake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa...
  3. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  4. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  5. econonist

    Vyama vya siasa vianze kujitofautisha kwa mirengo

    Vyama vyetu vya siasa nchini vianze kujitofautisha kwenye mirengo ya kushoto au kulia. Hii itasaidia wananchi na wanachama kuvijua vyama hivyo vinasimamia Nini. Pia itasaidia vyama kujua vijikite kwenye maeneo gani na sera zipi. Mrengo wa kulia unategemea zaidi kwenye ubepari na kuangalia...
  6. Roving Journalist

    Pre GE2025 RC Kihongosi; CHADEMA fanyeni Siasa za kistaarabu, tusibaguane kwa itikadi za vyama vyetu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na mashikamano baina ya Watanzania. Kihongosi ametoa rai hiyo alipozungumza na viongozi wa Chama hicho...
  7. Tlaatlaah

    Kati ya wanao lumbana CHADEMA, unadhani nani ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutimkia CCM na nani anadalili zote kutimkia vyama vingine vya siasa nchi?

    Friends, ladies and gentlemen. Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko? Unadhani...
  8. GENTAMYCINE

    Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  9. Matulanya Mputa

    Tanzania tuna Vyama vya Siasa vitatu tu sio Ishirini

    Dkt Emanuel Nchimbi juzi kasema kuna vyama walishiriki kuvianzisha na vimekua kwa sasa vyama ambavyo wameanzisha na vimekua ni vifuatavyo. CHADEMA, ACT-WAZALENDO ni vyama ambavyo vyote vilianzishwa na CCM japo kwa nyakati tofauti lakini leo vyama hivi vinatafuta njia ya kushika dola kwa...
  10. M

    Je, Lissu ameamua kuwa na maadui wawili kwenye siasa?

    Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja. Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja? Je hawezi mmoja...
  11. comte

    LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ENEO LA UCHAGUZI IDADI CCM UPINZANI WOTE CCM PEKEE MITAA 4,265 4,265 3,256 1,009 VIJIJI 12,274 12,274 5,879 6,395 VITONGOJI 63,863 63,863 20,000 43,863 80,402 80,402 29,135 51,267
  12. D

    Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda. Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi. Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
  13. Jidu La Mabambasi

    RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  14. MakinikiA

    Chuki ya siasa mbaya sana kwa nini ulazimishe kuwaongoza

    Uongozi kiroho ni baraka unapofanya hira kuiba BARAKA ya MTU hutabaki salama,
  15. G

    Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  16. BLACK MOVEMENT

    Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  17. technically

    Mtanipinga Ila mpira wa Tanzania bado umejaa siasa

    Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea. Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka...
  18. The Watchman

    Zitto Kabwe: Vyama vingi vya siasa vimekufa Tanzania

    "Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa. 1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
  19. The Watchman

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF)...
Back
Top Bottom