silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nguvu ya upendo haina ni ya ajabu , upendo unashinda vita hata mpinzani wako awe na silaha zenye nguvu kupita zote

    Upendo ni asili ya mtu mweusi, hata wakoloni walipofika Afrika walishangaa kuona upendo mkubwa katika jamii yetu. Mjane wa kaka alitafutiwa mume katika ukoo ule wa mune wake ili watoto walelewe kwenye ukoo na wasipate shida. Mgonjwa aliyeshindwa kulima familia yake ilikula bila wasiwasi...
  2. Mfalme Wa Saudia Atoa Wito Hezbollah Wanyang'anywe Silaha

    Saudi King Salman called to disarm Hezbollah on UN General Assembly. Every normal country must designate Hezbollah as a terrorist organization -- for the sake of peace and stability!
  3. Tabia ya kutofuata miiko ya matumizi ya silaha, Aliyoyafanya "Ukiwaona" almanusura nifanyiwe mimi

    Salamu na Utangulizi Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
  4. Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
  5. Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  6. Zawadi ni Silaha ya Maisha

    ZAWADI NI SILAHA YA MAISHA Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa. Katika ulimwengu wa viumbe wenye utashi, zawadi ni moja ya nyenzo ya maisha. Zawadi hutolewa kwa viumbe wenye akili, utambuzi na tafakuri. Zawadi haitambuliki katika...
  7. Silaha muhimu kwa ajili ya ulinzi au uangamivu wa mwanadamu

    Uzoefu unanifundisha kuwa maumivu mengi tunayokutana nayo hapa Duniani yanatokana na sisi wenyewe kushindwa kuwajibika katika maisha yetu " living active life". Leo tumefikia hatua ya kushindwa kabisa kujitofautisha na matatizo na kufikiri sisi wenyewe ndiyo matatizo jambo ambalo siyo sahihi...
  8. Mzee wake ndiye aliyempa zawadi ya muhimu kuliko zote, ndiyo silaha yake kwa sasa

    Jana nilikutana na class mate wa utotoni. Tuliachana tukiwa shule ya msingi, mzee wao alistaafu walirudi kwao huko mikoa ya Bara. Huyu rafiki alikuwa mmoja wa vipanga darasani na aliitendea haki akili yake. Ana nafasi nzuri sana huko aliko. Katika maisha yake binti aliyemuoa alitoka famila ya...
  9. Soviet Female Assassins: Majasusi wa kike wa K.G.B na silaha ndogo ya hatari sana iliyoitwa "Lipstick Pistol" (The Kiss of Death)

    Soviet Union Female Assassins: Majasusi wa kike wa K.G.B na silaha ndogo ya hatari sana iliyoitwa "Lipstick Pistol" (The Kiss of Death) UTANGULIZI ===== Mnamo mwaka 1969 bwana Markov akaondoka kutoka nchini Bulgaria akahamia nchi za magharibi. Kwanza alianzia Italy kisha akaweka makazi yake...
  10. Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

    Get short URL FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency When...
  11. A

    Majambazi wasiotumia silaha

    Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa maisha. hawa ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi hapa mjini. Ila kiuhalisia tusilaumiwe mana...
  12. Q

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    ONYO KUHUSU MAANDAMANO YANAYOHAMASISHWA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kali kwa wananchi waliopanga kufanya maandamano leo yakihamasisha uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini. RPC Mambosasa amefikia uamuzi huo baada...
  13. Historia ya udhalimu ikihifadhiwa ni silaha kwa aliyedhulumiwa na huwa funzo jema kwa dhalimu

    HISTORIA YA UDHALIMU IKIHIFADHIWA NI SILAHA KWA ALIYEDHULUMIWA NA HUWA FUNZO JEMA KWA DHALIMU Mgahawa mpya ulitangazwa kuwa utafuguliwa tarehe kadhaa na ukawa unafanyiwa matangazo katika gazeti maarufu mjini Tel Aviv na tangazo likawa limetiwa kila aina ya maneno ya kuvutia wakisema, ‘’Watch...
  14. Ni kitu gani kinachoendelea ndani ya Korea Kaskazini?

    Habari! Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo kutaibuka mashambulizi dhidi yake. Wakati hayo yakiendelea...
  15. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lakamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti. Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
  16. Kunyamaza ni silaha kubwa

    Wapinzani mkiona mnayemtendea Ubaya halipizi, Mnamchukia lakini yeye anawaonesha Upendo. Mnamdharau lakini anawaheshimu. Mnamtuhumu wala hajibu tuhuma zenu. Mnamtenga lakini ameendelea kuwaonesha Upendo na umoja. Mnamshusha anavumilia. Mnamnunia, yeye anawachekea. Mnamhujumu yeye anasonga...
  17. Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema leo alfajiri walipokea taarifa kutoka kwa Mbunge wa Viti Maaalum, akiwa na Dereva wa Mbowe, Wilhad Urassa (34) kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA wakati akipandisha ngazi kuelekea ndani kwake inadaiwa alishambuliwa na watu 3 Kamanda Muroto...
  18. Unapenda mahusiano yako yadumu?

    Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni jambo la kawaida kwasababu tunaingia katika mahusiano tukiwa na tabia tofauti tofauti na tena...
  19. Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

    Hapa nazungumzia weapons of mass destruction Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu. Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
  20. L

    Imagine karne ya 21 kiongozi anatumia neno Mabeberu kama silaha. Anajua kweli ubeberu upo hata kwenye biashara ya mchicha hapa nchini?

    Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI. Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara? Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…