silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Nje ya silaha za nyuklia, Urusi haIna kingine cha kuitishia Marekani

    Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi. Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
  2. Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  3. Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine. Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana. Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
  4. Silaha ambazo unaweza tumia

    Nikuambie kitu wewe usiyemwamini Mungu, kwa kweli Mungu anazo silaha nyingi sana za kumnyamazisha mwanadamu mkorofi... Maji (mafuriko) Hewa(kimbunga) Chakula(sumu) Njaa(ukame) Nk... Zote hizi ni silaha zake, aligeuza bahari ya sham ikawameza Wamisri. Sasa basi unapaswa uwe makini, hata kwikwi...
  5. Je, ngono ndiyo silaha ya mapenzi?

    Sijui kwanini, ila katika pita pita zako unakutana na mtu ukamwelewa but ukawa huwa mawazo ya kukutana nae kimwili hivi karibuni. ila baada ya muda unaanza kuonekana hauna mapenzi ya kweli au kuna sehemu unapata utelezi na vitu kama hivo. Unless otherwise, me navyojua huwezi ukawa unakutana na...
  6. Wagner watishia kujitoa kwenye mapambano, walalamika uhaba wa silaha na vifo vingi mno

    Walalamika kila siku wanapoteza wanajeshi elfu, haivumiliki tena maana Urusi haiwapi silaha ipasavyo, wametelekezwa.....wamechoka maana wazalendo wa Ukraine bado wanatembeza kichapo, yaani ndio kama wanapata mzuka mpya kila siku. ================= The head of Russia's mercenary Wagner Group...
  7. Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

    Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
  8. Polisi Mbeya wamkamata Msabila Raulent Leonsia akituhumiwa kutengeneza silaha (gobore) kienyeji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa maliasili – TAWA Pori la Akiba Rungwa, linamshikilia Msabila Raulent Leonsia [48] Mkazi wa Kambi Katoto Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa tuhuma ya kupatikana na silaha – gobore mbili ambazo zimetengenezwa kienyeji. Mtuhumiwa alikamatwa...
  9. K

    Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

    TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu. Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
  10. Marekani: Mtu mwenye silaha awaua watano kwa risasi benki

    Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
  11. Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

    Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby. He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working...
  12. Korea Kaskazini yafichua ushahidi wa kwanza wa silaha za kinyuklia

    Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi. Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia zenye uwezo wa kulenga shabaha nchini. i Korea Kusini. Lakini picha ilizochapisha katika gazeti lake...
  13. Putin akubaliana na Lukashenko kupeleka silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus. Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
  14. Putin: Urusi itapeleka silaha za nyuklia Belarus

    Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi. Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika wake, Belarusi, kwenye milango ya Umoja wa Ulaya, inayogawana mipaka na nchi mbili za Baltic...
  15. D

    Awamu hii kama una silaha usitembee nayo. Utawala wa kambare, kila mtu anasharubu. Unaweza jikuta unaua mtu bure

    Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza! Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu! Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani. Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
  16. Ukraine walipua shehena la silaha za Urusi kule Crimea

    Taratibu hiyo Crimea mtaitema tu, wizi wa ardhi ya watu ni laana. An explosion in the north of occupied Crimea has destroyed Russian missiles being transported by rail, Ukraine's defence ministry said. The Russian-installed head of the city of Dzhankoi said the area had been attacked by...
  17. J

    Haya ndio mataifa yanayoongoza kuuza Silaha Afrika, ndio wanaochochea migogoro?

    Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
  18. Ukraine hapumui kwa sasa, silaha mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza

    Ukraine kama Nchi ilotokana na USSR, Hawa Hadi Leo hii Asilimia kubwa ya Silaha zao ni za Kisovieti . Ukraine hapumui Kwa Sasa, Silaha Mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza. CIA kupitia washirika wake Duniani kote, Kwa Sasa wanaendesha Operesheni Dunia nzima hasa...
  19. Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

    Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki. Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
  20. China yaonywa katu isithubutu kuipa Urusi msaada wa silaha, itakiona

    Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali limetolewa...thubutuu!!!.... muacheni Mrusi ajifie maana kalianzisha mwenyewe... Kubwa la magaidi Iran lilishapigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…