🚨 Transfer News Live:Arsene Bucuti To Fountain Gate🔜
Klabu ya Fountain Gate,iko kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa msemaji wa Vital’O arsene Bucuti.
Singida wamempa ofa ya mkataba wa mika miwili wenye $2500 (tsh 6,721,237) kama Sign-on fee) mshahara wa $1500 (tsh 4,032,742)...