Tanzania tumekuwa tunahangaika kutafuta dawa ya matatizo yetu ya mpira. Uzuri mmoja katika soka letu tuna desturi nzuri ya timu za Simba na Yanga ambapo ni mtaji mzuri sana. Kwenye timu ya taifa au mashindano ya kimataifa ya vilabu tumeendelea kuwa dhaifu ukiacha mafanikio ya mara kwa mara ya...
Kocha mmoja kufundisha timu mbili ligi moja kwa wakati mmoja kivyetuvyetu.
Timu kukosa golikipa na kumtumia mchezaji wa ndani kama kipa kivyetuvyetu.
Kosa moja kutendwa na watu wawili wanaosimamia na mtu mmoja mwingine akaadhibiwa na mwingine kuachwa kivyetuvyetu.
Halafu anakuja mtu mmoja...
Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake.
Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote!
Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho kipi cha ziada ulichokifanya sana sana ni kufungia wanafamilia wa mpira wa miguu?
Football ni zaidi...
Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike
Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu.
Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
Wadau wa michezo hamjamboni nyote?
Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka
Mimi nianze kama ifuatavyo
Hamna Mchezaji hapo!
Hapo tumepigwa!
Unamuwekaje Kapombe Sub!
Huyo kocha hamalizi msimu!
Sasa endelea
Tukuumbuke kushirikiana...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi.
Hebu...
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma.
Taarifa zinasema Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekosa fedha na iko kwenye hatari ya kufilisika kiasi cha kufikia kuomba serikali za...
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo.
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza.
Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni bonfasi pawasa,kaseja alikuwa langoni,wakati matola ni mchezaji kaseja alikuwa langoni,wakati Steven...
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?
Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure...
SOKA NA UCHUMI WA TANZANIA.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Awali ya yote nipende kukushukuru wewe ndugu yangu, uliyetega jicho na kufungua ubongo wako kwa umakini ili kujifunza juu ya mada hii.
Tanzania ni katika mataifa yanayokabiliana na tatizo Kubwa la ukosefu wa...
" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021.
Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
amani
haji manara
hatari
kabla
kiburi
manara
maswali
muhimu
nchi
rais
rais samia
samia
serikali
siku
soka
ulipo
usoni
virus
wakubwa
yako
yanga
yanga sc
yangu
Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake.
Jana, Kamati ya Maadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.