soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. L

    Shule ya sekondari ya Suzhou yazindua programu ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa soka

    Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
  2. M

    KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  3. N

    Dereve teksi aliyeifunga simba aliwahi cheza soka la kulipwa

    Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva teksi na wasafisha uwanja waliocheza na simba na akafunga goli
  4. JanguKamaJangu

    Jack Wilshere atangaza kustaafu kucheza soka

    Kiungo wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 30, timu yake ya mwisho ikiwa ni Aarhus ya Denmark. Wilshere ambaye alikuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara iliaminika atakuwa staa mkubwa wakati akichipukia, anastaafu akiwa ameichezea...
  5. Suley2019

    Kituko Siera Leone: Timu moja yashinda magoli 91-1, wapinzani wao wakashinda 95-0

    Gulf FC iliishinda timu ya Koquima magoli 91-1 huku timu ya Kahunla Rangers ikiichapa Lumbebu 95-0. Timu zote mbili zilikuwa na pointi sawa (32) lakini moja ilihitaji kuzidi kila mmoja ili kupata idadi kubwa ya mabao na kufuzu hatua ya mtoano ya Taifa. Mpaka mapumziko Kahunla walikuwa...
  6. luangalila

    Kwa maslahi mapana ya soka, TFF mfungieni Haji Manara

    Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji, Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie mashabiki wa Yanga kuungia kiwanjani ktk mechi za hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika hii...
  7. sky soldier

    Manara atapewa adhabu na Karia kwa lengo la kisasi lakini kuhusu kufungiwa hilo jambo ni sawa na kusubiri kuvuna mpunga kwenye upupu

    Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno. Wengi tunafahamu Karia ni Simba dam dam na mafanikio ya Yanga kwake yamekuwa ni sawa na kisu kilichomgonga mfupa. siku ya jana...
  8. Silly

    Wadhamini kwenye Soka letu

    Wakubwa tuna changamoto kubwa ya kupata wadhamini wa timu yetu ya mpira daraja la kwanza (Champions). Aidha waliotangulia kwenye mpira hawakuwa watu sahihi na wamevuruga hali ya hewa kiasi kwamba mpira kwa sasa unaonekana ni ligi kuu tu. Tunatokaje hapa maana kwa kweli khali ni ngumu na kuuza...
  9. Tz boy 4tino

    Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
  10. T

    Nimemsikiliza Naibu Katibu wa chama cha soka Burundi, nimeumia sana kuhusu Tanzania yangu

    Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo. Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
  11. Linguistic

    Hii ni kumbukumbu nzuri sana kwenye Soka Letu

    Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba. . Hakika alikuwa moto sana na miguu yake kama imechomekwa ivi😃😃 hakika tulipata burudani. Zamoyo mogella, pia huyu nae alikuwa...
  12. NostradamusEstrademe

    Tuwaenzi wachezaji wa soka wa zamani na sasa

    Majina ya wachezaji wa zamani na sasa.Je walichezea timu gani na wako wapi kwa sasa? Moderator naomba uzi huu usiuhamishie kule kwenye michezo kwanza nimeona niuweke ukurasa huu unaosomwa na wengi unaweza peleka kule baadaye Nimeweka picha ya Daudi Salum Bruce Lee kama muwakilishi wa wachezaje...
  13. Jumannnne

    Jambazi sugu aliyetawala soka la Kenya

    Alikuwa na miaka 37 tu wakati wa kifo chake, miaka 16 baada ya Rais Kenyatta kumfungulia ili aokoe Stars. KATIKA historia ya soka la Kenya inayoanzia miaka ya 1970 kumekuwa na wanasoka wengi walioingia dimbani wakakipiga balaa. Uhatari wao ulitishwa. Kwa moyo wao wote mashujaa hao waliitetea...
  14. pwilo

    Kweli Simba ni next level

    Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa. Ila bingwa anaongoza...
  15. Greatest Of All Time

    Hatimae mwamuzi Mike Dean anastaafu kuchezesha soka jumapili hii

    Jumapili hii, msimu wa EPL utakuwa unaenda ukingoni. Bingwa wa EPL atajulikana siku hiyo, vita ya top 4 kati ya Spurs na Arsenal itajulikana siku hiyo lakini pia vita ya kushuka daraja itajulikana siku hiyo kati ya Burnley na Leeds nani ataungana na timu nyingine mbili kushuka daraja. Msimu wa...
  16. Imalamawazo

    Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  17. Google Diggers

    Soka la Tanzania bila mambo haya itabaki ushabiki Vima wa Simba na Yanga

    Hakika nawasalimu. Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa nyuma ni nadra Sana kumkuta mwanamke anashabikia soka, lkn hivi Leo wanacheza na kuimba kwenye...
  18. Christopher Wallace

    Wachezaji wa Kusini mwa Africa waliowahi kucheza soka Tanzania

    Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
  19. N

    Rapper Stamina kazaliwa 1989 ila kacheza soka secondary na Dickson Job

    Dah namsikiliza kijana Stamina Sharobwenzi sasa hivi clouds fm akiwa anatambulisha team yake ya ndondo cup iitwayo stamina fc anajinasibu kwamba kakipiga sana against Dickson job katika mashindano ya shule za sekondari sasa napata ukakasi mkubwa sana Huyu jamaa ana miaka 33 ila Job nafikiri...
  20. M

    Wadau wa soka jifunzeni kingereza ili mjue kanuni za soka kupitia Wikipedia

    Mchezaji hawezi kuwa offside kama amezidi mikono... 👇
Back
Top Bottom