soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. M

    Chonde chonde wamiliki wa vituo vya redio na luninga: Tuondolerni hao wachambuzi uchwara wa soka!

    Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara. Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
  2. M

    Sasa ni wazi: Sifa ya kuwa mchambuzi wa soka hapa Tz ni kumiliki mdomo!

    Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao. Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!! Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka...
  3. May Day

    Soka la kisasa Mchezaji anathaminishwa kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sio Kipaji

    Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni. Hivyo basi kama...
  4. N

    Senzo Masingiza na Manara hakika mnalichafua soka la Tanzania

    Nilikuwa nafuatilia interview ya kocha wa Orlando Pirates kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo, Nilichogundua ni kuwa Kuna watu wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kwa wageni kuhusu Simba. Taarifa hizo zimekuwa zikipandikiza chuki kwa wageni kwa kuamini kuwa kucheza na Simba nyumbani ni vita...
  5. T

    Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi. Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
  6. N

    Hivi kweli Azam FC timu iliyokuwa inategemewa kuleta mapinduzi ya soka inazidiwa point 23 na Yanga inayoongoza ligi?

    Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri. Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
  7. B

    Uzalendo kwenye soka la Simba na Yanga

    Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine. Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...
  8. blogger

    Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

  9. John Haramba

    Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  10. chizcom

    Mpira wa Tanzania unaharibiwa na vilabu viwili -- Simba na Yanga

    Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi. Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu umewekezwa sana kwenye simba na yanga na si vingine. Na kila mchezaji yoyote utaka kuingia kwenye hivo...
  11. M

    TFF Wekeni Sheria, Tumechoka na wachambuzi waliokosa weledi wa soka hapa bongo

    Tumechoka na wachambuzi maandazi wa soka hapa bongo!! Utakuta mtu hajaweahi hata kucheza mpira ligi yoyote, anatokea kuwa eti mchambuzi wa soka huku akiwakosoa marefarii waliosomea kazi yao. Wengine wanadiriki hata kuwakosoa makocha wenye digrii zao!!! Wakome!! TFF chimbeni biti kali kuwa ni...
  12. B

    MISAMIATI YA UCHAMBUZI WA SOKA

    Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika...
  13. B

    Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
  14. John Haramba

    Soka siyo ushkaji ni biashara, ishu ya kipa wa YANGA iwe somo kwa Mtibwa na klabu nyingine

    Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao. Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli, lakini Mtibwa Sugar kupitia Ofisa Habari, Thobias Kifaru anaibuka na kudai kuwa Yanga hawajakamilisha...
  15. John Haramba

    CAF CHAMPIONS LEAGUE: Al Ahly, Zamalek ni anguko la wababe wa Misri au soka la Afrika limekua?

    Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika. Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
  16. W

    Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

    Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
  17. Lycaon pictus

    TFF ndiyo wanamiliki soka hapa nchini?

    Nimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama TANESCO walivyo na monopoly kwenye kuzalisha na kuuza umeme? Kwamba ukitaka kufanya shughuli zozote za...
  18. John Haramba

    TFF yamfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka miaka mitano, mwingine afungiwa MAISHA

    Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano. Dauda ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF amefungiwa kwa kwenda kinyume na Kanuni ya Maadili pamoja na Kanuni za TFF akidaiwa...
  19. M

    Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

    Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
  20. Greatest Of All Time

    Neymar afikisha miaka 30 leo. Dunia ya soka bado inamdai huku muda ukiwa unamuacha

    Neymar Jr mchezaji wa PSG na timu ya taifa ya Brazil, leo ametimiza miaka 30. Wakati Neymar akisheherekea kutimiza miaka 30 ya kuzaliwa kwake, Dunia ya soka bado ina deni kwake. Tuliaminishwa na gwiji wa soka wa Brazil Pele kuwa Neymar atakuja kufuta ufalme wa Messi na Ronaldo na atatwaa...
Back
Top Bottom