Wakuuu Habari za wkend,
Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk
Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir Junior, Boxer nk nk.
Kwanini Wachambuzi wa Soka wanaumizwa na kukereketwa saana na kuwasema zaidi...