Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.
Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba...