soko la mabibo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni soko gani Dar linaongoza kuwa na mazaga ya bei rahisi?

    Wakuu, Nauliza tu maana hili suala la kununua vitu gengeni kwa kweli vimezidi kuwa ghali Ni soko gani naweza kwenda vitu vikawa affordable?
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Soko la Mabibo (Dar) umeuza meza yangu nilipoenda kumuuguza baba yangu, nimeumia sana

    Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie. Viongozi hao wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  4. JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Ubungo ilituahidi baada kuanza kulisimamia Soko la Mabibo miundombinu itakuwa shwari, lakini bado hali ni tete

    Kufuatia awali Soko la Mabibo "Soko la Ndizi" kudaiwa kuwa mikononi mwa Watu wachache ambao walikuwa wakihusika kuchukua mapato, Serikali kupitia Halmashauri ya Manispaa Ubungo ilitoa taarifa ya kulirejesha soko hilo kwenye mikono yake huku ikiahidi kulifanyia maboresho makubwa, ambayo yangeweza...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Responded Hali ya soko la Mabibo wakati wa mvua ni mbaya sana

    Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2 Toa maoni yako . ================================ WADAU WALALAMIKIA MIUNDOMBINU NA USAFI WA SOKO LA MABIBO Soko la Mabibo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…