soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sunk Cost Fallacy

    Nawamegea Fursa ya Kilimo cha Maharage ya Soya kwa ajili ya Soko la China

    Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
  2. M

    Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
  3. saidoo25

    Kafulila amnyang'anya soko la Madini MNEC Simiyu

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la madini lililokuwa likiendeshwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC), Gungu Silanga...
  4. Bushmamy

    Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  5. L

    Kenya yapanga kuanza kusafirisha Chai Nyeusi kwenye soko la China

    Kenya inapanga kuanza kuuza chai nyeusi kwenye soko la China kufuatia kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo kwenye soko la China. Nia hiyo ya Kenya imejulikana kwenye ziara iliyofanywa na balozi mteule wa Kenya nchini China Bibi Muthoni Gichohi, kwenye kiwanda cha chai cha Nduti mjini Murang’a...
  6. W

    Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
  7. Bavaria

    Mafuta yameanza kushuka bei kwenye soko la Dunia

    Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa. Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza. Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta...
  8. N

    Hatari kwenye soko la ajira

    Moja kwa moja kwenye hoja. Ni wakati sasa wa kuangalia kwa jicho kali ulinzi wa ajira za vijana wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla. Milango tulioifungua kwa kuruhusu wageni kuingia na kupata ajira kwa hoja ya kadili muwekezaji aonavyo inaanza kuwa hatari kwa ajira za wazawa na mustakabali...
  9. K

    Soko la papai Dar likoje?

    Jamani, ninaomba kujua biashara ya papai inaendaje kwa Dar hasa kwa mkulima. Nini uzoefu wenu
  10. Bushmamy

    Soko Kuu la Mitumba Memorial Moshi lingejengwa kisasa, linaleta aibu

    Soko la Mitumba aina zote maarufu kama Memorial, lililopo katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro lipo katika hali ya kusitikitisha kutokana na kuwa limejengwa katika mfumo wa vibanda vya miti. Soko hilo pia limekuwa maarufu kutokana na kuwa na wateja wa mataifa mbalimbali wanaokuja kununua...
  11. M

    Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
  12. A

    Soko la used computer UAE

    Kwa wale walioko kwenye soko la kuuza used computers na spare part au accessory zake na wanatafuta soko la kununua vifaa hivi kwa bei poa ya jumla karibuni UAE, soko linajitosheleza kabisa, unachokitaka kwenye hili soko utakipata, model kuanzia 2010 and above. Kwa maelezo zaidi niletee DM
  13. chiembe

    Moses Machali, naona ukuu wa Wilaya Bukoba unaelekea ukingoni, vijiwe vya kahawa soko kuu vinakung'oa

    Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na hawamtaki". Bukoba ni wilaya ambayo Siasa imetamalaki, na Kuna wafanyabiashara wameshamuunguzia Uzi, na...
  14. The Supreme Conqueror

    Je, Usafirishaji wa Wanyama nje ya nchi itachangia ongezeko la Watalii au tunaenda kuua soko la Utalii ndani ya nchi?

    Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi. Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
  15. and 300

    Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  16. konda msafi

    Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto. Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea. Zima moto na gari lao wapo ila...
  17. M

    Soko la sato wa kufuga

    Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa kuanzia kilo 50 ikifatwa shamba, Kigamboni ni TZS 7500. Karibuni
  18. JanguKamaJangu

    Usafi waanza kufanyika Soko la Kawe baada ya uchafu kukithiri kutokana na mvua

    Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo. Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
  19. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: Hali ya mazingira Soko la Kawe siyo nzuri kwa afya za watumiaji na wakazi

    Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe. Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima...
  20. beth

    Dar: Hali ya Soko la 'Magunia' yahatarisha Afya za Wananchi

    Hali ya Soko la 'Magunia' Msasani bonde la Mpunga linavyoonekana pichani, ambapo soko hilo hutumiwa na Wakazi wa maeneo mbalimbali ikiwemo Masaki na Oysterbay kujipatia Mahitaji yao ya kila siku Pamoja na umuhimu wa Soko hilo kwa maeneo hayo, suala la usafi wa Mazingira na Miundombinu yake...
Back
Top Bottom