soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Hivi vyeti vinavyotolewa online na mashirika kama google na etc vina soko kwa waajiri?

    Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza. Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
  2. S

    Msaada wa bei na soko la mazao haya

    Wadau wazoefu kwenye kilimo cha bustani naomba kupata ushauri kuhusu kilimo hicho,bei na masoko ya mazao haya. 1.kindola (matango madogo). 2.Kalela 3.Maharage ya kichina 4.Kisola 5.Pilipili maricha Note: Baadhi ya majina yaliyotumika ni ya asili
  3. Soko kuu Arusha halina hadhi ya kuitwa soko kuu

    Hili soko ni la muda mrefu tena tangu baada ya uhuru, na lipo katikati ya jiji mita chache tu toka ilipo stand kubwa ya mabasi, lakini haliendani kabisa na sura ya jiji. Muundo wa soko ni wa kizamani kuanzia nje hadi ndani ambapo vizimba ni vidogo vidogo na wafanyabiashara wengine wamejijengea...
  4. L

    Naomba soko la mbao aina ya Mahogany na mvule toka Congo DRC

    Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
  5. B

    Balozi Mchumo: Watanzania limeni Mianzi, ina soko kubwa Duniani

    INBAR welcomes Mr. Ali Mchumo as its fifth Director General Video courtesy of MAELEZO March 2019 – The International Bamboo and Rattan Organisation, INBAR, is delighted to confirm the appointment of Mr. Ali Mchumo as its new Director General. Mr. Mchumo will take up his position at the end of...
  6. RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
  7. T

    Sasa ni zamu ya masoko kuungua, Soko la Katoro laungua moto

    Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua. Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua. Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua. Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni...
  8. K

    Soko la kuuza mahindi Kenya

    Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
  9. Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

    Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao. Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
  10. L

    Soko la China ni kigezo cha kupima ubora wa maua ya Kenya

    Na Tom Wanjala China imetajwa kuwa mwamuzi mkubwa katika soko la kimataifa la maua yanayotoka Kenya. Meneja mauzo wa kampuni ya maua ya Redlands Roses, Bi. Dorcas Gathura anasema kuwa China imesaidia kampuni hii kupanua mauzo yake katika mataifa mbalimbali. Anasema kuwa kinyume na mataifa...
  11. Tunduma: Soko la Manzese lateketea kwa moto

    Soko la manzese lililopo tunduma mpakani mwa TANZANIA na Zambia limeteketea kwa moto. --- Tunduma. Soko la Manzese lililoko katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe linawaka moto muda huu. Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeanza leo Jumanne Novemba 16, 2021 asubuhi...
  12. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

    MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
  13. Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

    Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi. Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
  14. Duru za biashara za mtandao: Kuna dalili za watu kulizwa huko kwenye soko la forex, wajuzi wa haya masuala njooni huku

    Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
  15. Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

    Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
  16. PICHA Ya Muonekano wa Soko jipya la Kariakoo Huu Hapa

    Picha za jengo jipya la Kariakoo zimeachiwa mapema leo, jengo hilo jipya linakusudiwa kugarimu shs za kitanzania 26.2 bilioni.
  17. Natafuta soko la Vanila Tanzania

  18. L

    Makampuni barani Afrika yatumie CIIE kufungua soko la China kwa ajili ya bidhaa zao

    Na Caroline Nassoro Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi Novemba 5, 2021. Ikiwa ni awamu ya nne, Maonyesho haya yameendelea kuandaliwa kwa ufanisi zaidi, kitaalamu zaidi, na pia kwa njia ya kidijitali zaidi. Maonyesho haya yamevutia washiriki...
  19. L

    CIIE: Fursa nyingine kwa nchi za Afrika kutangaza na kuuza bidhaa zao katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yameanza mjini Shanghai, China, na nchi kadhaa zinashiriki maonyesho hayo na kutangaza bidhaa maalum za kipekee zinazopatikana katika nchi hizo ili kuweza kuvutia wateja nchini China. Nchi za Afrika ni miongoni mwa nchi...
  20. B

    Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…