Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini...
Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
Soko la Kariakoo ambalo Rais Samia Suluhu anakusudia kulifanyia mapinduzi makubwa kwa kukarabati jengo lake la zamani na kujenga lingine jipya ambalo litapokea machinga zaidi ya 2,000, lina historia ya kipekee.
Soko Kuu hilo lipo katika kiwanja namba 32 eneo la Kariakoo, katikati ya makutano ya...
Inaonekana watu wa mipango miji wamelala na viongozi wetu akili zimeganda. Nimeona leo kwamba soko la k'koo litajengwa upya kwa Billion 34, leo siyo mwaka 1970 jamani kwanini pesa zote zitumike kujenga soko tena eneo lenye tatizo la msongamano wa watu badala ya kulihamisha soko pembezoni mwa...
MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU
Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili.
Kulia ni soko maarufu likijulikana kama Soko Mjinga.
Majengo yote hayo yamebadilika kwa kuvunjwa yale ya zamani...
Usiku wa jana tarehe 26 Oktoba moto umerindima na kuunguza sehemu ya soko la Mashine Tatu. Inasemekana moto huo ulianzia katika moja ya vibanda.
Chanzo bado hakijajulikana.
Pole sana kwa waliopoteza mali zao.
Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana.
Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955.
Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO kuidai Tanganyika.
Angalia hizi picha za soko lenyewe kama jengo kisha inamisha macho...
kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo
Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu.
Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha.
Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5. Pesa...
Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo....
Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
Ningependa kuchangia walau kidogo kuhusu mahindi kukosa soko
Hizo ni dalili la kutokua tayali hayo ni matokeo ya kuto kukijua vyema Tanzania endapo Kila mkulima stamina kisses Kama tuna to shawishi Hali itakuaje?
Hiyo ni neema kidogo tu ya mahindi tayari Changa moto mahindi tusiyachukulie ni...
Kazi iendelee!
=========
BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA
Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika
Maamuzo hayo yamefanyika Septemba 9, 2021 bungeni Dodoma
Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Kitila Mkumbo amesema Tanzania inaingia...
Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili hufundishwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 hapa nchini. Nimeshauza kwa baadhi ya wanafunzi waliopo Dar es...
MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA.
Leo 14:30hrs 28/08/2021
Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.