soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  2. Nyendo

    Kigoma: Soko la mitumba linateketea kwa moto

    Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto...
  3. Erythrocyte

    Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
  4. MK254

    Mataifa ya Waarabu yafaidi kwenye mashambulizi ya Houthi, yachukua soko la Israel

    Israel sasa inapitisha mizigo yake kwa njia ya barabara ndani ya mataifa ya Waarabu, huku magaidi ya dini yakipambana kushambulia meli, waarabu kwenye mataifa mengine wanafaidi, hamna cha dini wala mshikamano....kimsingi hela. Israel is using a land route for the import of goods through the...
  5. Benson GS

    Soko la vitabu mtandaoni likoje?

    Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
  6. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
  7. B

    Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada

    Mkuu Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada kwa kundi la wafanyabiashara wa Soko Kuu Katesh na wa mazao mbalimbali waliothirika na Maporomoko ya Matope yaliyotokea Desemba 03, 2023 na kuharibu mali zao pamoja na eneo lote la biashara hiyo. Akikabidhi misaada...
  8. Smith Rowe

    Natafuta soko la Aluminium foil za jumla (foil za kufungia chips, nyama etc)

    11
  9. A

    DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  10. A

    DOKEZO Dampo katika Soko la Stereo lililopo Temeke ni kero kubwa, Mamlaka ziongeze nguvu katika kuzoa taka

    Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa kwa Wafanyabiashara na Wanunuaji wa bidhaa katika Soko hilo. Wafanyabiashara katika soko hili kwa...
  11. Replica

    Museveni asema alikataa ombi la kupiga marufuku mchele wa Tanzania. Adai wakulima wavivu walitaka kutawala soko

    Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo. Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
  12. Mhafidhina07

    Video za wadada kukalia chupa zimeathiri bidhaa katika soko?

    Wanazengo mnaendeleaje? Wenye kumbukumbu wanakumbuka video tofauti ambazo ziliwaonesha baadhi ya wanawake wakichezea chupa za soda mfano mirinda kwa ustadi wa hali ya juu kitu ambacho kiliwastaajabisha watu na kuanza kuitaja soda fulani kama matani au mzaha Japo siyo jambo geni ila miaka...
  13. K

    Je shayiri inapatikana soko lipi jijini dsm?

    Nataka nianzishe kama lishe kwa watoto
  14. ThisisDenis

    Nini kimejiri soko la Kariakoo Dar es Salaam?

    Sina habari za mwisho wa ugomvi kati ya wafanyabiashara wa Kariakoo na Wachina. Najua kwamba kulikuwa na mvutano kati yao kuhusu masuala ya biashara na ushindani. Inaweza kuwa kwamba pande zote mbili zimefikia mwafaka na zimepata suluhisho la matatizo yao, au pengine mazungumzo yanaendelea...
  15. Influenza

    Mwisho wa Enzi: Kampuni ya Toshiba yaachana na soko la hisa la Tokyo baada ya miaka 74

    Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba. Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
  16. L

    Nchi sita zaidi za Afrika kunufaika na soko la China

    Kuanzia tarehe 25 Desemba mwaka huu Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zitaungana na nchi nyingine za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake za kilimo kuingia bila kutozwa...
  17. Mto Songwe

    U.S-CHINA Tech War: Soko la mashariki ya kati

    US-China 'tech war': AI sparks first battle in Middle East Cathrin Schaer 10/02/2023October 2, 2023 The US has restricted exports of some computer chips to the Middle East, to stop AI-enabling chips from getting to China. But there's no information on which countries are affected, or how chips...
  18. Njaa

    Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  19. Hismastersvoice

    Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

    Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
  20. B

    Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

    Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha. Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka. Mabasi mengi kwa Sasa...
Back
Top Bottom