Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Mwezi Juni 2023 mafuta kwenye soko la dunia yalikuwa 70 USD, mwanzo wa mwezi Septemba yamefika 90 USD.
Inakadiriwa kufikia mwisho wa mwaka huu pipa litakuwa 120 USD bei iliyokuwepo kabla ya janga la COVID 19.
Hii inetokea baada ya OPEC na wazalishaji wengine wa mafuta kupunguza uzalishaji na...
Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani.
Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), litaendelea kutoa elimu na kuwafikia wadau wengi zaidi ili wafahamu mchango wake katika uchumi wa nchi.
Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania, Godfrey Malekano alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam...
Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao
Kwa utafiti wangu...
Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, amesitisha uzinduzi wa Soko la Mbagala Zakhem baada ya kubaini uwapo wa madalali waliochukua fedha za watu kwaajili ya kuwauzia vizimba.
Kufuatia taarifa hizo, Chalamila ametoa wiki moja na kumuagiza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kushirikiana na...
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo.
Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini.
Dkt. Kijaji...
Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao.
Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo.
Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.
Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu
Hans Macha
Ernest Massawe
Arnold B.S Kilewo
Harold Temu...
KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA.
KWA KUIGA MFANO WA TASAF
UTANGULIZI:
Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu kuangalia njia za kuwezesha wahitimu kutoka kaya maskini kupata fursa sawa za ajira. Programu ya Tanzania...
Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali".
Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama fursa mpya --waitavyo wenyewe "chimbo" .
Lakini mimi binafsi bwana kuna jambo moja linalonikera...
Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi.
Electronics& communication (Self)
Computer &IT
Civil Eng,
Electrical Eng,
Mechanical Eng,
Biomedical Eng,
MD(Medical Doctor)
Med laboratory (Bach),
Pharmacy,
Nursing,
Clinical Medicine...
Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup
Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa
Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu
Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka...
Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo.
https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.