soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
  2. BARD AI

    Hali ya Soko la Vyakula Ilala, Dar es salaam ni mbaya, watu hawajali uwepo Kipindupindu wanauza bidhaa mitaroni

    Licha ya Serikali kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Wilaya ya Ilala, bado hali ya Masoko ya Vyakula ni mbaya kwenye suala la Usafi kutokana na miundombinu mibovu ikiweko kukosekana mifereji ya kupitisha Maji Machafu, Uhaba wa Vizimba unaosababisha Wafanyabiashara kupanga...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Soko la Mbagala sasa liko safi na linafikika kwa urahisi. Masoko machafu yote yabomolewe na kujengwa upya

    Habari! Mwaka jana kabla soko la Mbagala kuungua moto niliingia sokoni ili nipate mahitaji muhimu . Lile soko lilikuwa chafu na wakati wa mvua linatoa harufu mbaya sana. Njia za kuingilia na kutokea hazijulukani. Bidhaa ziko hovyohovyo. Huwezi kuingia mara mbili kama hujazoea uchafu. Jana...
  4. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  5. L

    Ulaya inaihitaji China kwa ajili ya soko lake kubwa pamoja na amani

    Kwa muda sasa, uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya umekuwa kwenye mwelekeo wa kudorora, lakini mkwamo katika uhusiano huo ulianza kubadilika baada ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na rais wa Baraza ka Ulaya Charles Michel kufanya ziara nchini China mwishoni mwa mwaka jana. Katika mwezi...
  6. T

    Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

    Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi! Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi? Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile? Ni...
  7. LA7

    Wewe jamaa wa bucha soko la Samunge nakuonya acha kuwakwaza majirani zako kwa makelele ya radio

    Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio yako ya battery 4. Mimi si mfanyabiashara wa hilo eneo lakini Nina kuomba tu acha maana soon...
  8. Yuzo De roon

    Human Resource Management na Business Administration ipi kozi nzuri kusoma?

    Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, Nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
  9. B

    Dar: Mnaotumia Soko la Buguruni kipindi hiki cha mvua mnaionaje hali?

    Mara kwa mara nimekuwa mtumiaji wa Soko la Buguruni lililopo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, lakini kiukweli, hali sio nzuri hasa kipindi cha mvua. Kwanza wafanyabiashara wanapanga bidhaa zao mpaka Kituo cha Daladala hali inayowafanya wapita njia na abiria kupata wakati mgumu. Pia...
  10. aka2030

    Kampuni ya ndege flightlink hakika inaenda kuuwa soko la Air Tanzania

    Hawa jamaa kutokea dsm to arusha ni USD 52 tu na hamna mbambamba na wanandege kubwa kabisa.
  11. Muchaa

    Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

    Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
  12. comte

    Kushuka kwa bei ya disesel ni matunda ya kuheshimu mwenendo wa soko

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa huku bei ya bidhaa hizo ikipungua ikilinganishwa na mwezi Machi. Italeta ahueni ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
  13. BARD AI

    Muuzaji Mbegu za Kiume aongeza Soko, ana watoto 550

    Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano. Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
  14. Bushmamy

    Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

    Hili ndilo soko kuu la samaki kwa sasa lililopo eneo la Maili Sita katika Wilaya ya Hai Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara. Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa...
  15. 90sgeneration

    SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

    Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu. Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure. Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale...
  16. Chagu wa Malunde

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
  17. mangiTz

    Njia za kushinda soko la ushindani kibiashara

    Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na: 1) Brand name hii...
  18. Financial Market 255

    Soko la hisa

    .
  19. GM98

    Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  20. JanguKamaJangu

    Makusanyo Soko la Sinza Makaburini yanaenda wapi? Hakuna vyoo wala sehemu za kutupa taka

    Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka. Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
Back
Top Bottom