Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia!
Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja!
Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii.
Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa!
Kwasasa napotaka kuanza...
Mfumo wa elimu nchini kwetu Tanzania umekuwa ukienda tofauti sana na soko letu la ajira hii inatokana na kauli mbiu ya kwamba alieshiba hamtambui kwenye njaa
Wito wangu na maoni yangu katika Serikali kwa mfano kwa mwaka inauwezo wa kustaafisha wafanyakazi 2000 kwa wakati huo huo wahitimu...
MBUNGE MHE. SANGA - KUSHUSHA KODI YA NGANO INAYOTOKA NJE NI KUIFANYA YA NDANI IKOSE SOKO
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe, Mhe Deo Sanga ameiomba serikali kutopunguza Kodi Kutoka 35 Mpaka 10 kwa wazalishaji wa Ngano kutoka nje ya Nchi kwani kufanya hivyo ni kutoa thamani ya Mzalishaji...
Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza.
Sio kwamba...
Hello wadau!
Nilihitaji kujua soko la kuuzia madini mbali mbali ruby, dhahabu e.t.c, Soko lipi Linafaa la Dar es Salaam au lile la Dodoma?
Kwanini Dodoma na sio DSM? Kama kuna sababu mbili tatu.
NB; Sina madini yoyote ni kutaka kujua tu
Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae.
Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara.
Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika.
Vodafone kuona...
Ili kuzuia hali kama hiyo isijirudie tena katika Soko la Kariakoo, hatua kadhaa zinaweza kuchukuliwa. Hapa kuna baadhi ya mawazo ambayo yanaweza kusaidia:
Mazungumzo na taasisi husika: Wafanyabiashara na wawakilishi wao wanaweza kushiriki mazungumzo na taasisi ya TRA (Mamlaka ya Mapato...
Kwanza niwapongeze Yanga kwa kufika Fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake.
Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu. Ananikumbusha wachezaji wa zamani kina Lunyamila na hata Ronaldo...
Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara.
Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA
Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea:
Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua.
Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.