Usain bolt sio jina geni masikioni mwa wapenda michezo wengi hapa ulimwengu,
Alizaliwa mwaka 1986 Jamaica ni mwanariadha Bora wa muda wote kwenye mbio fupi 100m na 200m (G.O.A.T)
Binafsi niliwai kushinda Riadha kwenye UMITASHUMTA vijana wa hivi karibuni hawawezi kujua nini maana ya...
Part 1
Mvua inanyesha aridhi nayo chapachapa dongo jekundu natoka kwenda kusaka, mguu mosi mguu pili mpaka kunako shamba naanza kuchimbua ili kupanda zangu karanga,
Namaliza kipande pekee baba yangu alichonikwezea japo si haba napata kitu mdomoni, hii ni baada ya kufiwa na wazazi wangu...
Salaam
(Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona wengine nguo za kuvaa zimechanika,wakati kwetu nyuso ziling'aa migongo ilifunikwa,Radi ilipiga wala...
Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu.
Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
Habari zenu wana jamii forum
Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu.
Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
Story ya Yesu
Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
Habari za muda huu wapendwa.
Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39].
Mimi kuna series moja ambayo nadhani wengi wenu mnaifahamu inaitwa blood and sands (SPARTACUS). Hiyo kila...
Habariiii members hii ni story moto sana naishusha wala msijali.
Hii story nitakuwa kila siku naleta vipande viwili kutokana na muda inaweza kuwa kimoja mchana na kingine usiku.
Stay tuned, kesho mapema moto unawaka. Achia comment ili ninapoweka sehemu ya kwanza nikumention 🤪.
TAYARI STORY...
A STORY OF TWO SUCCESSFUL BROTHERS
Prepared and written by 𝗣𝗮𝘀𝘁𝗼𝗿𝘆 𝗙𝗲𝗿𝗱𝗶𝗻𝗮𝗻𝗱 𝗞𝗶𝗺𝗮𝗿𝘆𝗼
Contacts:
+255767918675
+255785265694
Whatsapp: +255785265694
pastorykim94@gmail.com
Two millennial folks were working together in a state-owned Telecom corporation in southern Tanzania, though their...
Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake.
Hii tabia ni kama kirusi...
Nakumbuka nilikuwa mkoa wa Manyara basout nilipokuwa naishi ni kama km 7 ufike Madukani.
Sasa baiskel yangu ili kufa msumari tairi la nyuma uzuri Mimi mwenyewe ni fundi basi nikaenda dukani kwa mguu kwa kutembea na mguu maana nilikosa hata baiskeli ya kuazima sababu Mimi sio mwenyeji sana huko...
Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie.
Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa hasira?
Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie
Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua
Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika...
Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu.
Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane.
Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu...
Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob.
Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
Story #1:
Once upon a time, there was a young couple named John and Sarah who fell deeply in love with each other. They met in college and soon became inseparable. They shared everything together, from their favorite foods to their most profound hopes and dreams.
One day, John surprised Sarah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.