Huu utakuwa ufafanuzi rahisi was kitu ama Muda.
Je inawezekana kwenda miaka ya mbele ama kurudi nyuma kwa akina Yesu na Yuda Eskaroti?
Sasa hapa utapata ufafanuzi wa time travel.
Ipo ama haipo utapata majibu.
Hebu anza na hii
Mtunzi: Jonas Rututuka
Mwandishi: Nelson Ntimba.
Time travel...
Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka.
Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro.
Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro.
Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
Maisha yana changamoto nyingi sana.
Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia.
Nikaendelea kuishi pia...
"Maisha yana changamoto nyingi sana.
Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia.
Nikaendelea kuishi...
1. Sitaki Demu - Juma Nature
Nature alitoa kibao hiki mara baada ya kugombana na mpenzi wake Sinta
2. Inaniuma Sana - Juma Nature
Chanzo cha wimbo huu ni kama ilivyokuwa hapo juu, Nature aliachana na Sinta msichana aliyempenda sana kabla ya kuzinguana.
3. Msela - Bushoke
Huu wimbo Bushoke...
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao...
Wanajamvi naomba nipate ushauri wenu kwa hili.
Kwa sasa nipo kweye 35 kasoro sikni nimepata ujuzi katika fani kama tatu hivi hapa namanisha elimu ya diploma ya utawala biashara lengo kuu tangu awali niwe mjasiriamali lakini baada ya masomo nikajiegesha kwenye kampuni fulani ya ulinzi ili nipate...
Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini.
Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
Hivi huyu The Notorious BIG kwenye wimbo wa I got a story tell alikuwa anamzungumzia nani?
Nimejaribu kuelewa anachozungumzia lakini wapi but kuna watu wanasema ni True Story.
Wataalam wa Hiphop mnisaidie
Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao.
Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo...
Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa...
Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani..
1. MAANA...
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache.
Ni mrembo haswa na ana self...
Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana...
The story of Salim bin Khalfan, Liwali of Mombasa (1884 - 1912)
In the picture, he is seated at the centre.
it's important to note that the Omanis ruled Mombasa from 1698 and had their administrative headquarters in Stone Town, Zanzibar.
Mombasa was a prominent town under the Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.