story

  1. Mr Lukwaro

    PHOTOS: Uzi wa Wallpapers, Profile pictures , na Stutus story.

    Huu uzi maalumu kwa wale wanaotaka Wallpapers nzuri na Profile picture kali. Kwa wanaopenda kuweka Status na Picture stories pia uzi huu ni maalumu kwa ajili yenu.
  2. Mhaya

    STORY FUPI: Ni mara ngapi tunakosa zawadi kwa sababu hazikufungwa vile tulivyotarajia?

    Lazima usome... mwanamke mmoja aliyeolewa alikuwa akitarajia zawadi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe. Kwa miezi mingi alikuwa amevutiwa na pete nzuri ya almasi kwenye chumba cha maonyesho, na akijua mume wake angeweza kumudu, alimwambia kwamba hiyo ndiyo tu alitaka. Siku yake ya kuzaliwa...
  3. hermanthegreat

    My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  4. Vincenzo Jr

    Story hii itakusisimua kuliko zote, utatumia dakika 2

    Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture, alikuja kwangu...
  5. K

    Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

    Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga. Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia. " Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na...
  6. Siana Sia

    To make a short story long: Hatari ya kuficha mahusiano

    Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome. Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au Said). Mara ya kwanza tulikutana ATM. Ilikua jmosi mchana, nilipata changamoto ya kadi yangu kumezwa...
  7. Papa Mopao

    Mwenye story yoyote ya mambo yanayotokea karibu na kifo ayamwage hapa

    Yeyote mwenye habari zozote zinazohusu NDE au Near Death Experience anaweza kumwaga hapa. Haya maisha tunayoishi ni zaidi ya tunayoyajua. Elimu haina mwisho, tuendelwe kujifunza wajameni.
  8. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  9. Jumanne Mwita

    Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

    Mwaka 2013 nilipata kazi kwenye kampuni moja katika branch yake Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, sasa basi maisha yalianza kwa kufanya kazi kwa sababu sikua najua chochote ilibidi nijifunze kupitia kwa yule niliyemkuta ndio alinipa uzoefu sababu yeye alikuwa kanitangulia na anajua vingi kuhusu...
  10. FirstClass

    Nipe maoni yako juu ya hadithi yangu

    Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
  11. Sky Eclat

    A story about uncle Musa

    UNCLE Musa. After living in the United States for 40 years and at the age of 70, Uncle Musa finally relocated to Salagie, The Gambia this year to live in his 5-bedroom house which took him 10 years to complete. Now in Gambia and in his house, Uncle Musa lives in the living room of the house...
  12. GENTAMYCINE

    Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

    Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu...
  13. Pang Fung Mi

    Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

    Wasalaam nyote, Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya. Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
  14. F16 Falcon

    Love story: She felt as if she was losing something precious

    Good morning guys. Kuna story nimeiona sehemu naomba kushare nanyi. 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 more hesitation. All he felt now was disappointment. Ironically, today was also their wedding anniversary. There was cruel humor in divorcing him on the day they had gotten married. “I don’t want the money, I just...
  15. Mwachiluwi

    Ni story gani au mada gani uliikuta kwenye chombo cha usafiri ukaishia kucheka?

    Hello 👋 Tunatumia usafiri sana sana usafiri wetu daladala, mwendokasi, bajaji nk Nisikuchoshe kuna tukio nishashuhidia na kusikia nikaishia kucheka mpaka mwisho wa safari Ya kwaza ilikuwa mwaka 2015 nikiwa kwenye daladala kipindi cha uchaguzi tukifika kituo fulani sasa pembeni kulikuwa na...
  16. Teslarati

    BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story. Ilikua hivi, miaka hio...
  17. Roca fella

    Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

    Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William. Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza. Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
  18. DZEKO_10

    Jamani nisaidieni real story imenikuta leo hii sasa hisia zitaushinda mwili, maamuzi yatakua magumu mno

    Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa mwanzo niliutumikia fresh japo tupo mbali me nipo dar ye yupo msoma, shida ni kwamba kuna mda life...
  19. Teko Modise

    Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  20. Uboboh

    TBT: Story iliyofanya nikajiunga JF, story iliyofanya nikapata my favorite nickname, Kongole kwa huyu member japo kapotea

    Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa. Niliisoma hii story for 3yrs (darasa la 5 mpaka darasa la 7 Nilisoma story nyingi humu za mapenzi pia Facebook nilisoma soma...
Back
Top Bottom