story

  1. Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

    Story gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
  2. The Fastest Man Alive: The True Story of Usain Bolt

    Usain bolt sio jina geni masikioni mwa wapenda michezo wengi hapa ulimwengu, Alizaliwa mwaka 1986 Jamaica ni mwanariadha Bora wa muda wote kwenye mbio fupi 100m na 200m (G.O.A.T) Binafsi niliwai kushinda Riadha kwenye UMITASHUMTA vijana wa hivi karibuni hawawezi kujua nini maana ya...
  3. Story: Chini ya Bahari

    Part 1 Mvua inanyesha aridhi nayo chapachapa dongo jekundu natoka kwenda kusaka, mguu mosi mguu pili mpaka kunako shamba naanza kuchimbua ili kupanda zangu karanga, Namaliza kipande pekee baba yangu alichonikwezea japo si haba napata kitu mdomoni, hii ni baada ya kufiwa na wazazi wangu...
  4. SoC03 Kutokana na Stori ya kweli: Maisha Yangu yalivyobadilika ndani ya dakika moja

    Salaam (Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona wengine nguo za kuvaa zimechanika,wakati kwetu nyuso ziling'aa migongo ilifunikwa,Radi ilipiga wala...
  5. Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  6. B

    The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  7. S

    Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  8. Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

    Habari za muda huu wapendwa. Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39]. Mimi kuna series moja ambayo nadhani wengi wenu mnaifahamu inaitwa blood and sands (SPARTACUS). Hiyo kila...
  9. Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

    Habariiii members hii ni story moto sana naishusha wala msijali. Hii story nitakuwa kila siku naleta vipande viwili kutokana na muda inaweza kuwa kimoja mchana na kingine usiku. Stay tuned, kesho mapema moto unawaka. Achia comment ili ninapoweka sehemu ya kwanza nikumention ๐Ÿคช. TAYARI STORY...
  10. A story of two successful brothers

    A STORY OF TWO SUCCESSFUL BROTHERS Prepared and written by ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜† ๐—™๐—ฒ๐—ฟ๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—ž๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜†๐—ผ Contacts: +255767918675 +255785265694 Whatsapp: +255785265694 pastorykim94@gmail.com Two millennial folks were working together in a state-owned Telecom corporation in southern Tanzania, though their...
  11. Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

    Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake. Hii tabia ni kama kirusi...
  12. Made in Tanzania, simulizi ya kweli

    Nakumbuka nilikuwa mkoa wa Manyara basout nilipokuwa naishi ni kama km 7 ufike Madukani. Sasa baiskel yangu ili kufa msumari tairi la nyuma uzuri Mimi mwenyewe ni fundi basi nikaenda dukani kwa mguu kwa kutembea na mguu maana nilikosa hata baiskeli ya kuazima sababu Mimi sio mwenyeji sana huko...
  13. Uliwahi kusikia story gani ya Iddi Amini Dada, ikakupa hasira?

    Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie. Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa hasira?
  14. Msaada: Naomba usaidizi kwa mtu ambaye ana article ya investigative story anisaidie

    Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika...
  15. Short Love Story

  16. Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

    Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu. Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane. Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu...
  17. Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  18. Short story ya Chakula cha Usiku

  19. Siku Freeman Mbowe alipotumia ofisi za CCM kuwakwepa polisi

    Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob. Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
  20. Short Romantic Story: "I Will Always Love You"

    Story #1: Once upon a time, there was a young couple named John and Sarah who fell deeply in love with each other. They met in college and soon became inseparable. They shared everything together, from their favorite foods to their most profound hopes and dreams. One day, John surprised Sarah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ