Habari wakuu!
Mm ni mzazi na mlezi!! Vyuo vya maendeleo ya jamii (FDC)! Ni Vyuo vya serikali ambavyo vipo chini ya usimamizi wa VETA! Vyuo hivyi vinatoa mafunzo ya ufundi stadi kama ya Vyuo vya VETA, mfano kozi ya umeme, magari, ushonaji, uashi, useremala n.k! Hata mitihani wanayofanya ya...