Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa, wafiatimu, mashabiki wa Simba Sports Club.
Mmejipangaje na shirikisho msimu huu.
Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye mashindano hayo.
Mtaliambia nini taifa siku yakiwakuta ya wana lambalamba na wagosi wa kaya.
Sioni...