tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
  2. Tabia gani uliyonayo ambayo hutamani watoto wako wairithi kutoka kwako?

    Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda. Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira...
  3. Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  4. IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
  5. Darassa akerwa na tabia ya Billnass na G Nako, awachana kwa roho zao za kukunja

    Rapa Darassa amekerwa na tabia ya Billnass na G Nako kumuita studio na kurekodi nae kisha nyimbo hazito, awachana kwa roho zao za kukunja.
  6. Kama Mama yake Diamond ana hizi tabia kwa kile Wapenzi wa Mwanae ambao Mama wakwe wengine wanazo tusahau Diamond kuja Kuoa

    Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
  7. Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Habari wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo Usomaji wa matangazo ya week, Kwa dunia ya...
  8. R

    Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  9. UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

    itaendelea wiki ijayo..
  10. Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

    Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT. Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza.... Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
  11. Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

    Watu wenye IQ kubwa mara nyingi huonyesha tabia fulani zinazowatofautisha na wengine. 1. Udadisi wa hali ya juu – Wanapenda kuuliza maswali na kutaka kujua jinsi mambo yanavyofanya kazi. 2. Ufahamu mpana – Wanajua mambo mengi na wana uwezo wa kuelewa mada mbalimbali kwa haraka. 3. Uwezo...
  12. Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo nyeusi, Viatu ndiyo kabisa.. Lakini pia tangu nimeanza kuwa mimi Mfumo wa maisha yangu haujawahi...
  13. Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  14. Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  15. Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

    Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu. Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani? Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
  16. Trump ana tabia zote za waswahili wa Buza

    Petty and vindictive.
  17. Tabia ya kupokea viongozi na kuondoka kwa nini imekuwa kama sherehe na sio heshima za kiusalama kama ilivyo kwa nchi nyengine

    Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu. Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
  18. Nipeni mbinu ya kubadili hii tabia

    Muhali gani wana JF, Ebana nahisi na naamini hii tabia sio mimi pekee ambaye ninayo, Naomba wenye tabia kama hii tukutane hapa na tushauriane mnaweza vipi kuji control?, au wataalamu wa Saikolojia watusaidie. Ni kuhusu tabia ya MOYO WA MSHUMAA (Unaungua na kuteketea ili kuwamulikia wengine). *...
  19. Pre GE2025 Diwani wa Vigwaza aonya tabia ya Ubaguzi ndani ya CCM. Asema CCM hakijawahi kuwa chama cha kibaguzi

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Vigwaza kimeadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, huku kikitoa wito wa kuepuka ubaguzi katika mchakato wa uchaguzi mkuu. Mwenyekiti wa chama hicho, Athumani Kimui, ameeleza kuwa CCM haikubali kuwepo kwa ubaguzi baina ya wanachama wake, akisisitiza...
  20. Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

    Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu. Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…