tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

    Tabia iliyomponza Ibilisi ni KIBURI. Baada ya kuambiwa na Mwenyezi Mungu amsujudie Adam sijida ya heshima basi yeye alikataa Kwa kujawa na Kiburi kwasababu yeye alijiona Bora sana. Na alipoambiwa kwanini ulikataa kumsujudia Adam akasema; Mimi ni Bora nimeumbwa Kwa Moto na yeye ameumbwa na...
  2. Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

    Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili. Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa...
  3. Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  4. Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
  5. Tabia za mwanamke wa kuoa (wife material)

    Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye. Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama wife material ama mke bora. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife...
  6. Tabia ya wasajili laini kutumia vitambulisho vya watu bila wenyewe kujua kusajilia watu wengine zaidi ni hatari

    Habari wakuu natumaini mko poa wote, Iko hivi kuna kipindi nilipoteza simu yangu ya smart pamoja na laini yani niliibiwa sasa nikakaa kama mwezi maana simu nilikuwa naona sehemu ilipo nikaamini nitaipata baadae nikaja nikakata tamaa nikaona isiwe kesi ngoja nirudishe laini zangu. Siku...
  7. Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  8. Tabia ya kuweka miziki yenye video za nusu uchi kwenye usafiri wa umma ikome

    Shalooom! Wakuu, nilisafiri kwa basi fulani kuelekea mkoani Mtwara ila nilijiskia vibaya sana kuona kila muziki unaochezeshwa kwenye luninga ya gari unaonesha watu walio nusu uchi. Mbaya zaidi nilikuwa na mtoto wa sister naye macho yake yalikuwa yanakodolea kila kinachoendelea. Moyoni...
  9. Nachukizwa na tabia ya watu wa Bara

    Unjani sabuwona Nyie watu wa wabara mnazingua sana yaani mna uelewa mdogo kinoma yaani utakuta mtu mzima hajui kusoma wala kuandika mnakera sana na mnanichefua sana. Ukipita barabarani unakuta na watoto wadogo kazi yako kuchuga ng'ombe tu n wala kusoma hawasomi na yaani mnakera sana watu...
  10. Tabia ya kulala na wake za watu na athari zake

    Kwanza nianze na salamu. N.k.j.j.m.w. Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa. Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi. Kumtoa MTU busha nk
  11. Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  12. Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi?

    Niende moja kwa moja. Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya. 1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina heshima kubwa Sana sio kidogo. Hapa duniani esp Tanzania naongelea mitaani kwetu. Mambo si salama...
  13. Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  14. Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  15. Tabia zisizofaa kwenye Mwendokasi

    Habari wana jukwaa, Leo nimeshuhudia jambo la ajabu katika mwendokasi. Nikiwa natoka Kkoo mida ya mchana mwendokasi imejaa kuna jamaa mbele yangu alikuwa kasimama nyuma ya bi dada mmoja aliyevaa dela/kijola. Kadri safari ilivyoenda jamaa naona anazidi kumbananisha mwanamke ila cha ajabu bi...
  16. B

    Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  17. Kuwa na Tabia Njema / Mbaya huwa ni Maamuzi ya Mtu binafsi

    Habari za Wakati Huu wakuu!! Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila. Je,Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye Kabila lako/ ukoo wako ukazikosa hizo Tabia??? Kama MOYO wako Umempenda mtu...
  18. Tabia hizi za jamii kwa mtoto mdogo(mchanga) zinaleta sintofahamu

    Wasalaam...! Ni muda mwingine tena natoka kwenye majukumu yangu ya siku na kuingia nyumbani ila mwanamke ananipokea na kunitaarifu kuwa kuna mgeni, rafiki yangu wa zamani kapita kunijulia hali,basi napitia sebuleni... ile kufika sebuleni namuona rafiki yangu kambeba mtoto wangu na kaingiza...
  19. Magereza yatumike kurekebisha tabia za Wafungwa sio kuadhibu pekee

    Wakuu, salaam, kuna mambo nimewaza hapa kuhusu Idara zetu za Magereza. Binafsi sikutarajia kuona au kusikia Wanaotoka Gerezani wakihusika na matukio ya uhalifu mitaani kwa sababu naamini moja ya kazi ya Magereza ni kurekebisha tabia za wahalifu na kuwafanya kuwa watu wema baada ya kutoka...
  20. S

    Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…