Kuna watu ambao walipitia shida nyingi sana enzi za utotoni na ujanani mwao; kuanzia kula yao, kusoma kwao, kulala kwao, kuvaa kwao, nk kulikuwa ni kwa shida sana. Kiufupi tu ni kwamba walipitia maisha magumu sana. Watu hawa waliushinda umasikini kupitia elimu, biashara au shughuli nyingine na...