Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani
diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani
Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo?
Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...