Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe
Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani huwezi kuwafikiria watu katika mlengo mzuri,wewe hufikiria mabaya tu binadamu wenzako,hayo sio maisha...