Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito...