Habar wana jamii, kwanza nianze kwa kusema mm ni mtu mwenye hasira sana, ninasumbuliwa na depression napenda kujiisolate na kukaa mwenyewe, tangu nimalize chuo sikutafuta kazi nimejifungia ndani huu mwaka wa tano, sikuwa naelewa tatizo langu nini Ila nimejua mwaka Jana kuwa shida ni mental...