Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.
serikali inamlinda sana.
Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)
Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya...
Wanajamvi
Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania
Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata
Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni
Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
Habari zenu wanajukwaa,
Maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa hivyo kupelekea watu kubuni njia mbali mbali ili kujipatia kipato cha kuendelea kuishi.
Tupo kwenye kipindi ambacho ikifika asubuhi nyumba nzima kila mtu anaondoka kwenda kutafuta maisha tofauti na zamani ambapo ilikuwa nyumba nzima...
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.
"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."
"Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini.
Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
Kuwa makini sana kipindi uwapo Beach!
Kabla ya kuingia kwenye maji, angalia vizuri bahari. Ikiwa utaona nafasi iliyojitenga kama uwazi katikati ya mawimbi, usiingie!
Ni mkondo wa chini na utavutwa ndani.
Mkondo huu unaweza kuwa UNDERTOW au RIP CURRENTS (unaweza uka-google kwa maelezo zaidi)...
They are doing it again!
WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android.
Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0.
Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania...
Kwa utafiti wangu usio rasmi, kuna wale watu wanaongea sana, ukiwakuta kwenye kikundi cha watu au popote pale wao mara nyingi hupenda kudominate mijadala, mara nyingi waongeapo huongea kwa sauti ya juu sana, hujifanya wanajua kila kitu, pia hawa watu hupenda kuzoeana haraka na kila mtu ndani ya...
20 October 2021
Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo.
Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi kuhusu ubora wa wahitimu hapa nchini.
Akizungumza katika mkutano ulioikutanisha Serikali, makamu...
RC MAKALLA ALITANGAZA ENEO VOLCANO YA TOPE KUNDUCHI NI HATARISHI
- Asema eneo hilo halifai kwa makazi.
- Awataka Wananchi wa eneo husika kuchukuwa tahadhari.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope kuwa eneo la hatari na halifai kwa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga.
Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
Hello
Wapendwa haswa kina dada kuna tabia imeibuka currently mjini humu DSM, sijajua kwa mikoani. Gari haswa hizi private zina offer lift waweza dhani ni msamaria mwema lakini ni wezi ukiingia humo hatujui nini wanakufanyia ila kama una kadi ya benki utawapa na password utatoa, simu na pochi...
Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari.
Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari.
Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo vya kiafya kujua hali yake, baada ya ngono tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu alikua na...
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani.
Mungu akawabariki wataalamu mbalimbali, watabibu...
Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way.
Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo.
Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19.
Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa...